Posts

YALIYOJIRI ZIARA YA DKT NCHIMBI; ASISITIZA SUALA LA MBOLEA, MSHIKAMANO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Nchimbiakihutubia wananchi katika ziara yake ya kikazi mkoani Rukwa, amesisitiza serikali  kusambaza  mbolea kwa wakati na kutafuta masoko ya mazao ya wakulima lakini pia amewaomba watanzania kudumisha upendo na mshikamano kwa mstakabali wa utulimu na usalama wa nchi. Katika ziara hiyo ya siku 10 katika mikoa 6 ya Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya , Njombe na  kuhitimishwa mkoani Ruvuma Aprili 23, 2024 yenye lengo la kukihuisha chama, kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi, kutoa elimu juu ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani pamoja na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama. Dkt Nchimbi ambaye kwa upande wangu mimi ambaye nilikuwa miongoni mwa wanahabari waliokuwa kwenye msafara wake  nilimuona ni mtu mwenye msimamo, mkweli na uhakika.  Katika ziara hiyo yenye mafanikio aliambatana na wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM,  Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Maka

KILICHOSABABISHA YANGA KUTOSHIRIKI KOMBE LA MUUNGANO...

MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMAAA...

|KINACHO IMALIZA SIMBA NI KUMPOTEZA HANS POPEE

SHEREHE ZA MUUNGANO: VIONGOZI WA WILAYA WAPANDA MICHE YA MITI NA KUFANYA USAFI KIJIJINI KIGERA

BENKI YA CRDB YAKABIDHI MADARASA YA SEKONDARI KILOLO

AGENDA YA KUTOKOMEZA MALARIA IWE YA KUDUMU KATIKA VIKAO VYA MAAMUZI

RAIS SAMIA AKIWA KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

MANJI: SIWEZI KURUDI TENA YANGA SC

MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMAAA....

MBUNGE NYOKA: KAMILISHENI JENGO LA MAMA, MTOTO NA UPASUAJI LIJENGWE MKONGO GULIONI

MWANYIKA ASHAURI MAKUBWA BAJETI WIZARA YA NISHATI

RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 66.

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI