Airtel yakabidhi Mkataba wa Airtel Rising Stars kwa DFRA

Afisa Uhusiano Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akitilia saini mkataba wa kudhamini michuano ya vijana wenye umri ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars 2012, huku mjumbe wa kamati ya mashindano Dar es Salaam Daudi Kanuti akishuhudia. Wengine ni Katibu Mkuu wa TFF Angetile Osiah (wa pili kulia) na Mwenyekiti wa kamati ya mashindano TFF Saad Kawembe. Hafla hiyo ilifanyika Jumatatu Mei 21 kwenye ofisi za TFF.

Mjumbe wa Kamati ya Mashindano Dar es Salaam, Daudi Kanuti naye akitia saini.

Afisa Uhusiano Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akikabidhi mkataba wa kudhamini michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 kwa mjumbe wa kamati ya mashindano ya Dar es Salaam Daudi Kanuti baada ya kutia saini udhamini huo. Wengine ni Katibu Mkuu wa TFF Angetile Osiah (wa pili kuilia) na Mwenyekiti wa kamati ya mashindano TFF Saad Kawembe. Hafla hiyo ilifanyika Jumatatu Mei 21 kwenye ofisi za TFF.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.