ANUSURIKA KUAWA NA MAMBA MTO RUFIJI

Mwanamke Mkazi wa Rufiji, Khadija Boma (40), kifanyiwa tiba na Muuguzi Geraidina Amani juzi katika wodi 2 ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dar es Salaam, baada ya kujeruhiwa mguu alipokuwa akipambana na Mamba katika Mto Kipoka juzi, Rufiji. Mama huyo ambaye amekatwa mguu wa kulia aliong'atwa na Mamba, kabla ya kuokolewa na wananchi, alipambana naye huku akiwa na mtoto mgongoni. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA