ATC IMEWASILI JIJINI MWANZA MUDA MFUPI UJAO INAREJEA JIJINI DAR ES SALAAM

Kaimu Mkurugenzi wa shirika la ndege la ATC Bw. Paul Chizii kulia akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Mwanza mchana huu ambapo wafanyakazi pamoja na watu mbalimbali ambao wamekuwa wakitumia shirika hilo katika kusafiri wameonekana kufurahia sana kuanza kwa safari za shirika hilo
Katika uwanja wa ndege wa Mwanza kutakuwa na hafla fupi ya kupongezana na kukaribisha ndege hiyo ambapo pia keki itakatwa na kuliwa kwa kuashiria uzinduzi rasmi wa safari zake
Abiria mbalimbali wakishuka mara baada ya ndege hiyo kuwasili jijini Mwanza nchana  huu.
Dada Lilian wa ATC akiwa katika pozi mara baada ya kushuka kwenye ndege hiyo leo mjini  Mwanza.
Abiria wakishuka kwenye ndege.
Abiria wakishuka kwenye ndege mjini Mwanza. Kwa hisani ya Full Shangwe Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI