BASI LA NBS LA PINDUKA NA KUUA WATU SABA

 Ajali ya basi la kampuni ya N B S lenye namba T 978 ATM Scania,  leo katika eneo la jineri kilomita mbili kabla ya kufika  Igunga Mjini na kuua watu saba papo hapo wakiwepo wanaume watatu na wanawake watatu na mtoto mmoja wa kiume. Basi hilo lilikuwa linatokea mkoani Tabora kuelekea Arusha. (PICHA NA ABDALLAH AMIR)


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*