DK MOHAMED SHEIN KUSINI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia
Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
cheti cha utambulisho kwa wananchi wa jimbo la Koani Makada wa
CCM,Salmini Awadh,mwakilishi wa Jimbo la Magomeni, akiwa ni miongoni
mwa  waliochangia kufanikisha matembezi ya mshikamano,sherhe hizo
zilifanyika jana huko Afisi ya CCM Koani shehia ya kidimni Wilaya ya
Kusini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia
Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
cheti cha utambulisho kwa wananchi wa jimbo la Koani Makada wa CCM,Bi
Naila Jidawi,akiwa ni miongoni mwa  waliochangia kufanikisha matembezi
ya mshikamano,sherhe hizo zilifanyika jana huko Afisi ya Wadi ya CCM
Koani shehia ya kidimni Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la
msingi kituo cha Afya cha Mwera Pongwe jana,akiwa katika ziara ya
Wilaya ya Kati Unguja kutembelea Maendeleo ya ya Miardi mbali mbali ya
kijamii katika Mkoa wa Kusini Unguja.ujenzi huo umefadhiliw na
mwekezaji kutoka nchini Italy Dominic Palumbo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akiangalia mashine za uchunguzi wa maradhi mbali mbali
ya Binadamu katika kituo cha Afya cha mwera Ponge baada ya kuweka jiwe
la msingi leo alipokuwa katika ziara ya kuona maendeleo ya miradi
mbali mbali katika Mkoa wa kusini Unguja.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.