GRAND MALT YAJIKITA UPANDAJI MITI UDOM

Mwakilishi wa Kampuni ya Bia nchini Kanda ya Kati,Nicksomn Tesha akipanda Mti  katika Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini Dodoma mapema leo asubuhi wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo hilo ikiwa ni sehemu ya Utunzaji wa Mazingira.
Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam akimwagia maji mti alioupanda leo kwenye Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini Dodoma.Wanaoshuhudia ni Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma na wadu wa TBL.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI