NOKIA MOBILE APPS DEVEOPMENT TRAINING LAUNCH
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi naTeknolojia, January Makamba akifungua mafunzo ya kutengeneza mifumo ya ‘Software’ kwenye simu za mikononi yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam Mafunzo hayo yameandaliwa na Dar Teknohama Business Incubator kwa kushirikiana na Nokia pamoja na Tume ya Sayansi na Teknoloji. Balozo wa Finland nchini, Sinikka Antilla akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo. Baadhi ya washiriki. Kwa hisani ya habari Mseto Blog
Comments