JK AWAAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa kwenye foleni ya kuingia Ikulu, Dar es Salaam leo, kwenda kushuhudia wakati Rais Jakaya Kikwete akiwaapisha mawaziri wapya na waliobadilishwa wizara.

 Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimwapisha Shgmasi Vuai Nahodha kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
 JK akimwapisha Dk. Husein Mwinyi kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
 JK akimkabidhi zana za kazi, Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe
 JK akimwapisha Hawa Ghasia kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawla za Mikoa na Serikali za Mitaa
Jk akimkabidhi zana za kufanyia kazi, Waziri wa Utawala Bora, George Mkuchika

 Waziri mpya wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi, akila kiapo cha koshika wadhifa huo
 Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla akila kiapo mbele ya JK cha Unaibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maji, Prof. Maghembe (kulia) na Waziri mpya wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chizza.
 Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal akimpongeza Naibu Waziri wa Fedha, Janet Mbene
 Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kushoto) akimpongeza  January Makamba ambaye ni Naibu Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano.
 Naibu Waziri wa Fedha, Janet Mbene akiteta na Naibu Waziri wa Nisharti na Madini, Steven Masele
 Rais Jakaya Kikwete (mstari wa mbele katikati) Makamu wa Rais, Dk. Bilal (kulia kwake) na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na mawazi na Naibu mawaziri walioapishwa leo

 JK akiwa katika picha ya pamoja na mawaziri walioapishwa leo
                                               JK na naibu mawaziri walioapishwa leo
 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Nibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillip  Mulugo. Wote hao wanatokea Mkoa wa Mbeya.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*