MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, MKOA WA DAR ES SALAAM

 Wafanyakazi wakionesha ishara ya mshikamano wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar  es Salaam.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wakiandamana na wafanyakazi wengine katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, iliyofanyika kimkoa, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
 Askari wakiwazuia wafanyakazi kuingia kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kabla ya maandamano kuingia
 Baadhi ya wafanyakazi wakikimbia kuingia viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya lango kufunguliwa
 Brass Band ya Jeshi la Magereza ikiongoza maandamano kuingia kweye maadhimisho hayo
                                       Moja ya mabango likihimiza utaifa kwanza
                                                Ni furaha iliyoje kwa wafanyakazi hawa
 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwantumu Mahiza (wa pili kushoto) akionesha ishara ya mshikamano pamoja na viongozi wengine waliokuwa wamekaa jukwaa kuu leo
 Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Azam akiruka kupitia kwenye uzio baada ya kuzuiwa kutoka lango kuu hadi maadhimisho hayo kumalizika
Alhaji Profesa Salim Milki Kungwililo, Imamu wa Mahdi University Dar es Salaam, akihojiwa na askari baada ya kwenda kukaa jukwaa kuu bila kuwa na mwaliko wakati wa maadhimisho hayo

 Wafanyakazi wa Hoteli ya Riki ili nao walikuwepo
 Ofisa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Assah Mwambene akirekodi maadhimisho hayo
 Wafanyakazi bora wa Bandari ya Dar  es Salaam, wakiwa na vyeti walivyotunukiwa
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwantumu Mahiza (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora mara baada ya kuwapatia vyeti na zawadi, wakati wa maadhimisho hayo.

 Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Mwenyekiti wa TUGHE Mkoa wa Dar es Salaam, Hassan Kaumo (katikati) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa maadhimisho hayo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.