MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU NNE WA KUBADILISHANA UZOEFU BAINA YA SERIKALI YA TANZANIA NA CHINA KUHUSU MAFUNZO YA ULINZI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Akisoma hotuba yake wakati akifungua mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu baina ya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huo umefanyika leo Mei 21, 2012 katika Chuo kipya cha Jeshi National Defence College (NDC) kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Akisoma hotuba yake wakati akifungua mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu baina ya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huo umefanyika leo Mei 21, 2012 katika Chuo kipya cha Jeshi National Defence College (NDC) kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Liutenant General wa Jeshi la Bangladesh, M F Akbar, baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku nne wa  kubadilishana uzoefu baina ya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huo umefanyika leo Mei 21, 2012 katika Chuo kipya cha Jeshi National Defence College (NDC) kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Meja General Charles Lawrence Makakala, baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku nne wa  kubadilishana uzoefu baina ya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huo umefanyika leo Mei 21, 2012 katika Chuo kipya cha Jeshi National Defence College (NDC) kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo mara baada ya kuufungua rasmi leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa, wakati akiondoka katika Chuo cha Mafunzo ya Jesho cha National Defence College (NDC) baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku nne wa   kubadilishana uzoefu baina ya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huo umefanyika leo Mei 21, 2012 katika hicho kipya cha kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakati Makamu wa Rais Dkt Bilal, akifungua mkutano huo leo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*