MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA URESCO SACCOS

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijumuika kucheza ngoma ya sindimba iliyokuwa ikichezwa na akinamama wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Uresco saccos huko Mikocheni A jijini Dar es Salaam tarehe 5.5.2012.
 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Uresco saccos katika sherehe zilizofanyika katika ofisi za saccos hiyo zilizoko huko Mikocheni. Mama Salma ni mmoja wa wanachama wa saccos hiyo.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanachama wa Uresco saccos na wananchi waliohudhuria sherehe za uzinduzi rasmi wa saccos hiyo eneo la Mikocheni tarehe 5.5.2012.
Baadhi ya wanachama wa Uresco Saccos wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa saccos yao huko Mikocheni tarehe 5.5.2012.  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijumuika kucheza ngoma ya sindimba iliyokuwa ikichezwa na akinamama wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Uresco saccos huko Mikocheni A jijini Dar es Salaam tarehe 5.5.2012.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA