May
1
Leo ni siku ya Kuzaliwa Mbunge wa Mbeya mjini kwa
Tiketi ya CHADEMA na msanii Mkongwe wa Muziki wa Kizazi kipya Joseph Mbilinyi
almaarufu kwa majina ya Mr. II Proud na SUGU.
Sugu leo ametimiza miaka kadha na Blogu hii ya www.hakingowi.com
inaungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki zake wote kumtakia heri na fanaka
katika siku yake hii ya kuzaliwa. Pia inamuombea kwa Mungu amjalie Hekima na
Busara katika maisha yake kitu ambacho Haki Ngowi Blog inaamini kuwa ndio nyezo kuu katika utendaji
wake wa kazi na maisha kwa ujumla.
HAPPY BIRTHDAY!! HAPPY BIRTHDAY!! HAPPY
BIRTHDAY!! HAPPY BIRTHDAY!!
SALAMU ZA BIRTHDAY KUTOKA KWA
MARAFIKI
Shy-Rose
Bhanji:
Bazo
Komu:
Ipyana Mwimbe: HAPPY BIRTH DAY KINEGA THE JEMBE
Nicky
Magarinza: Happy Birthday mzee wa
Kariakoo!!
Kwame Mchauru
: Mungu Akujaze Baraka kaka..Happy Birthday.
Mwanabibi
Wage :
Mohammed Iddi
: HapPy birthday to you Comrade.
Zahoro
Marunga : Hapy bday anko
sugu
Mustafa
Hassanali: happy zaliwadeiiiii.....sasa KEKI
posho langu ?
Comments