Moi waadhimisha Siku ya Wauguzi

Mkurugenzi wa Uuguzi wa Kitengo cha Taasisi ya Tiba ya magonjwa ya ajali, mifupa, ubongo na mishipa ya fahamu (Moi), Bernadina Rambau, akizungumza na waauguzi wa taasisi hiyo, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi, duniani, Dar es Salaam jana. (Picha na Khamisi Mussa)






Wauguzi wa Taasisi ya Moi, wakiwasha mishumaa kwa ajili ya kusherehekea maadhimisho ya Siku yao, Dar es Salaam jana.


Wauguzi wa Moi, wakiwa na mishumaa kwa ajili ya kushrehekea maadhimisho ya Siku ya wauguzi duniani kwenye taasisi hiyo jana.


Baadhi ya wauguzi wa Taasisi ya Moi, wakila kiapo cha utiifu katika kazi, wakati wakiadhimisha Siku ya wauguzi duniani, Dar es Salaam jana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI