MPAKA SASA SIMBA YAIKUNG'UTA YANGA MABAO MATANO

Ubao ulivyokuwa unasomeka muda mfupi kabla ya kuanza mechi ya Watani wa jadi Simba na Yanga
Shabiki wa Simba aliyekuwa amevaa fulana nyekundu na kukaa eneo la Yanga, akitolewa eneo hilo huku akiwa kifua wazi baada ya kuchaniwa na wapenzi wa Yanga. PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA
Shabiki wa Simba akiwa na picha kubwa ya mnyama Simba
Kikosi kilichocheza na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
Kikosi cha Simba kilichocheza na Yanga leo kwenye Uwanja wa Taifa
                     Sehemu ya umati wa wana Simba ukishuhudia mechi dhidi ya watani wao Yanga

Comments

Anonymous said…
Buriani Yanga, naacha kushangilia yanga kuanzia LEO.Sitaki ujinga mimi

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*