MVUA YAVURUGA MECHI YA TAIFA QUEENS NA BOTSWANA TAIFA

Maofisa wa kampuni ya Superdoll, Jamal Bayser kulia na Ibrahim Juma kushoto wakisubiri mechi hiyo.

MECHI ya mwisho ya mashindano ya Afrika ya Netiboli yanayofikia tamati leo Dar es Salaam, kati ya wenyeji Tanzania na Botswana imechelewa kuanza kutokana na mvua inayoendelea kwenye Uwanja wa Taifa.
Mgeni rasmi, mke wa makamu wa rais, mama Bilal na mke wa Waziri Mkuu mama Pinda hawajafika bado. Tayari CHANETA imeamua mechi zihamie Uwanja wa ndani wa Taifa.
Mechi hiyo ilipangwa kuanza saa 7:00 mchana na Tanzania ikishinda itakuwa mshindi wa pili, wakati Malawi tayari wametetea ubingwa wao kwa kushinda mechi zote. Na Bin Zubery Blog
Gwiji wa mpira wa kikapu Tanzania Saleh Zonga kulia

Wachezaji na maofisa wa Zambia

Wachezaji wa mabingwa wa Afrika Netoboli, Malawi 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.