NYUMBA YA MKRISTO ILIYOVUNJWA NA WAANDAMANAJI ZANZIBAR

 Mkurugenzi wa kampuni ya Fresh Enterprises ya Zanzibar, Kassian Mbawala ( wa pili kulia, mbele) ambaye ni mumewe Catherine Peter Nao akiwatembeza mafundi ujenzi kufanya tathmini ya uharibifu uliofanywa katika vurugu zilizotokea hii karibuni mjini Zanzibar na kumsababishia hasara ya sh.milioni 200.
Picha na Martin Kabemba.
 Catherine Peter Nao (kushoto) akiongea na wandishi wa habari kuhusu tukio la kuvunjiwa nyumba yake na kuporwa mali zake ambapo amelilaumu jeshi la Polisi kushindwa kuzuia uhalifu huo pamoja na kuwapa taarifa ya tukio hilo kabla
Picha na Martin Kabemba.
Msaidizi Mkurugenzi wa Fresh Enterprises ya Zanzibar, Catherine Peter Nao akizungumza na wandishi wa habari kuhusu wanauamsho (jumuiya ya kislamu) kuvamia nyumba yake ya kuishi na biashara na kuivunja na kupora mali zake zote hivi karibuni mjini Zanzibar na kusababisha hasara ya sh.milioni 200.
Picha na Martin Kabemba

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.