Redds Higher Learning Dodoma 2012 hawa hapa





Washiriki wa Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012, wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao ya mazoezi iliyopo katika Ukumbi wa NK Club mjini Dodoma leo. Warembo hawa watapanda jukwaani Ijumaa hii kuwania taji hilo.
***
Warembo 11 wa Redds Miss Higher Learning Dodoma wanataraji kupanda Jukwaani May 18,2012 katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma kuwania taji hilo kwa mwaka huu.

Show hiyo inataraji kuzindikizwa na Mwimbaji bora wa Kiume wa Tuzo za Kili Music Award 2012, Barnaba kutoka kundi la THT ambaye kwa sasa anawika na wimbo wake wa Magubegube.

Shindano hilo mbali na kudhaminiwa na REDDS, pia limepata udhamini wa Nokia, Star Time, Nina’s Fashion, Shabby Bus, Clouds FM, African Dream, Club 84, Radio Kifimbo, Salama Salon, Jambo Leo, Mapouder Cosmetics, Emage For You, Salome Boutiq, Dicentman Blog, Joseph Lukaza Blog, na CafΓ© La’Tino.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU