Redds Miss Ustawi wa Jamii 2012 ni Hilda Edward

Redds Miss Ustawi wa Jamii 2012, Hilda Edward katikakati akipunga mikono baada ya kufanikiwa kutwaa taji hilo usiku wa kuamkia leo katika Shindano kali lililofanbyika katika Ukumbi wa Maisha Club jijini Dar es Salaam. Pamoja nae ni Mshindi wa Pili na watatu wa shindano hilo Nancy Wiliam na Ndenisia Mbowe. Washindi hawa wataungana na washindi wa Vyuo vingine katika Fainali za Redds Vyuo vya Elimu ya Juu Baade mwaka huu na kupata mshindi atakae wakilisha wasomi hao Fainali za Redds Miss Tanzania 2012.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA