SIKU YA WAUGUZI DUNIANI YAFANA WILAYANI RUNGWE

Wauguzi wa wilaya ya Rungwe wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha siku ya wauguzi duniani
Mgeni rasmi mkurugenzi wa wilaya ya Rungwe Noel Mahyenga aliyeshika taa akiongoza maandamano hayo
Mkurugenzi wa wilaya Rungwe akiwa na muuguzi mkuu wa wilaya Sophia Mkonongo wakiwa wameshililia mishumaa kama ishara ya upendo
Mkurugenzi wa wilaya akitoa zawadi kwa mmoja ya wagonjwa kuonyesha upendo kwao



Wauguzi nchini wametakiwa kuwa na moyo wa upendo na kuwajari wagonjwa wawapo kazini kwa kuwa muuguzi ndio mtu anayetoa huduma kwa ukaribu na muda mwingi kuwa na Mgonjwa.
Akiongea na wauguzi mkurugenzi wa wilaya ya rungwe Noel Mahyenga katika siku ya wauguzi Duniani amewataka kuongeza huduma kwa kuwa jari na kutoa huduma inayomstahiri mgonjwa.
Naye muuguzi mkuu wa wilaya ya Rungwe Sophia Mkonongo ameita serikali kutatua baadha ya changamoto amazo sasa imekuwa ni kero katika fani ya uuguzi.

Na Ally Kingo Rungwe

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*