Msafara wa Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Japan kukutana na Spika wa Bunge hilo Takahiro Yokomichi
 Spika wa Bunge la Japan Takahiro Yokomichi ( kulia) akimkalibisha Spika wa Bunge katika Bunge la Japan kwa lengo la kufanya nae mazungumzo kuimarisha ushrikiano baina ya mabunge haya mawili.
 Spika wa Bunge la Japan Takahiro Yokomichi ( kulia) akimkalibisha Spika wa Bunge katika Bunge la Japan kwa lengo la kufanya nae mazungumzo kuimarisha ushrikiano baina ya mabunge haya mawili.
 Ujumbe wa Bunge la Tanzania ukiongozwa na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya Bunge la Japan na ujumbe wa Bunge la Japan ambao uliongozwa na Mwenyeji wake Spika wa Japan Mhe. Takahiro Yokomichi mara baada ya kumalizika kwa kikao cha pamoja kilichojadili namna ya kuimarisha ushirikiano na mahusiano kati ya Mabunge ya Nchi hizi Mbili.
 Ujumbe wa Bunge la Tanzania ukiongozwa na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Bunge la Japan (kushoto) uliongozwa na Mwenyeji wake Spika wa Japan Mhe. Takahiro Yokomichi mara baada ya kumalizika kwa kikao cha pamoja kilichojadili namna ya kuimarisha ushirikiano na mahusiano kati ya Mabunge ya Nchi hizi Mbili
 Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (katikati) akieleza jambo kwa mwenyeji wake Spika wa Bunge la Japan Mhe. Takahiro Yokomichi wakati wa kikao cha pamoja kati ya ujumbe wa  Bunge la Tanzania na Japan walipo kutana Bungeni japan leo. Kulia kwa Spika ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maliasiri, ardhi na Mazingira Mhe. James Lembeli na Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Anne Kilango. Ujumbe wa Bunge la Tanzania upo Japan kwa mwaliko maalum na Bunge la Japan kwa lengo la kujadili na kuimarisha ushirikiano baina ya Mabunge haya mawili.

 Spika wa Bunge la Japan Mhe. Takahiro Yokomichi (katikati) akiwa katika Mazungumzo na ujumbe wa Tanzania uliongozwa na Spika Makinda alipokutana nao katika Bunge la Japan. Ujumbe huo wa Bunge la Tanzania upo katika ziara ya kikazi nchini japan kwa mwaliko wa Bunge la Japan. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Japan Mhe. Seishiro Eto  na Mwenyekiti wa Kamati ya sheria na Utawala ya Bunge hilo Mhe. Tadamasa Kodaira
 Spika wa Bunge la Japan Mhe. Takahiro Yokomichi (katikati) akiwa katika Mazungumzo na ujumbe wa Tanzania uliongozwa na Spika Makinda alipokutana nao katika Bunge la Japan. Ujumbe huo wa Bunge la Tanzania upo katika ziara ya kikazi nchini japan kwa mwaliko wa Bunge la Japan. Wengine katika Picha ni wabunge ambao ni wajumbe wa kamati inayoshughulikia maswala ya Africa katika Bunge la Japan.
 Ujumbe wa Tanzania (Kulia) ukiongozwa na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda wakiwa katika kikao maalum na ujumbe wa Bunge la Japan (kushoto) uliongozwa na Mwenyeji wake Spika wa Japan Mhe. Takahiro Yokomichi. Mhe. Makinda yupo Japan kwa mwaliko maalum na Bunge la Japan kwa lengo la kujadili na kuimarisha ushirikiano baina ya Mabunge haya mawili.
  Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya picha yenye wanyama (the Big Five animals) Spika wa Bunge la Ushauri la Japan (President of House of Councilors) Mhe. Kenji Hirata wakati alipo mtembelea Ofisi kwake baada ya kumalizika kwa kikao kati ya Ujumbe wa Bunge la Japan  na Tanzania leo kilichojadili namna ya kuimarisha ushirikiano baina ya mabunge haya
  Spika wa Bunge akifanya mahojiano na Mwakilishi wa TBC aliyeko Radio Japan – idhaa ya Kiswahili (NHK) Anna Kwambaza  mara baada ya Spika na Ujumbe wake kumaliza kikao na Mwenyeji wake Spika wa Japan.Picha na Owen Mwandumbya-Bunge

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.