TBL YAMZAWADIA GARI, BAJAJI WAKALA BORA TANZANIA

Meneja wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Kusini ya Mbali,  James Kavuma (katikati), akimkabidhi ufunguo wa Bajaj, Augustine Kisinja baada ya kushinda uwakala bora wa bia za TBL nchini katika hafla iliyofanyika mjini Makambako, mkoani Njombe hivi karibuni. Pia Kisinja alizawadiwa gari aina ya Jac Canter lenye thamani ya sh. milioni 47.

Mfanyabiashara Augustine Kisinja ambaye ameshinda uwakala bora Tanzania kwa kuwa muuzaji na msambazaji mzuri wa vinywaji vya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), akiendesha Bajaj yyenye thamani ya sh. mil. 4.7 aliyozawadiwa na kampuni hiyo hivi karibuni mjini Makambako, Njombe. Pia Kisinja alizawadiwa gari aina ya Jac Canter lenye thamani ya sh. milioni 47.
Meneja wa Kampuni ya bia TBL kanda ya Kusini, James Kavuma, aliyekaa kulia akiwa na mshindi wa Gari na Bajaj Bw.Augustine Kisinja, katika picha ya pamoja na wafanyakazi wake wakati
wa makabidhiano hayo katika mji wa Makambako
 Kavuma wa TBL (kulia), akipongezwa na mmoja wa wageni waalikwa kwa kampuni hiyo kuwathamini wafanyabiashara wa bidhaa zao.
Mfanyabiashara Kisinja (kulia), akizungumza na Kavuma wa TBL baada ya kukabidhiwa zawadi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI