VODACOM YAKABIDHI VIFAA CHANETA


Mke wa Waziri Mkuu Tunu Pinda pamoja na Kaimu Katibu Mkuu wa Chaneta Rose Mkissi wakipokea vifaa vya michezo kwa ajili ya timu ya taifa ya Netiboli- Taifa Queens kutoka kwa Meneja wa Mahusiano ya Nje wa Vodacom Bw. Salum Mwalim. Vodacom imeipatia Taifa Queens vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Shilingi Milioni Sita kuwezesha ushiriki mzuri wa timu hiyo kwenye mashindano ya Afrika yanayoanza kesho (Jumanne Mei 8, 2012) jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni mjumbe wa kamati ya maandalizi ya mashindano Shiza Mwakatundu
Mke wa Waziri Mkuu Tunu Pinda akipokea sehemu ya vifaa vya michezo vyenye thamani ya Shilingi Milioni Sita kutoka kwa Meneja wa Mahusiano ya Nje wa Vodacom Bw. Salum Mwalim kwa ajili ya kuiwezesha timu ya Taifa ya Netiboli Taifa Queens kushiriki vema mashindano ya Afrika kwa mchezo huo yanayoanza kesho jijini Dar es salaam. Vifaa hivyo vimejumusiha Suti za Michezo, viatu na Jezi. Kutoka kulia ni Mjumbe wa kamati ya maandalizi Shiza Mwakatundu na Kaimu Katibu Mkuu wa CHANETA Bi. Rose Mkisi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.