WAFANYAKAZI WAZIRI YA HABARI WAMPOKEA MH. WAZIRI DKT. FENELLA NA NAIBU WEKE MH. AMOS MAKALA

Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifurahi na baadhi ya     Watumishi mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo katika Jengo la Golden Jubilee.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akisaini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasali katika Ofisi za Wizara hiyo, anayeshuhudia ni Katibu Mkuu, Bw. Sethi Kamuhanda.
Baadhi ya Watendaji wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakimsikiliza kwa makini Mh. Waziri Dkt. Fenella Mukangara wakati alipokuwa akiongea na Uongozi wa Wizara hiyo.Kushoto ni Mhasibu Mkuu wa Wizara Rose Bandisa,katikati ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Leornard Thadeo na Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Bw. Clement Mshana.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akisisitiza jambo kwa viongozi wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo (hawapo pichani) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mh. Amos Makalla.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla akiongea na Uongozi wa Wizara hiyo (haupo pichani) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo. (Picha Zote kwa Hisani ya WHVUM)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*