WAFUGAJI NYUKI WAKUTANA NA 'MTOTO WA MKULIMA'

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafugaji wa nyuki kutoka Pemba na Rufiji waliomtembelea nyumbani kwake Dodoma kwa ziara ya kujifunza ufugaji nyuki iliyodhminiwa na  Mfuko wa  Maendeleo ya Jamii (TASAF), May 15,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa  katika picha ya pamoja na wafugaji nyuki kutoka Pemba na Rufiji waliotembelea shamba lake la nyuki ili kujifunza May 15, 2012. Kushoto kwake ni  Ladislaus Mamanga ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo  ya Jamii (TASAF) ambao ulidhamini safari hiyo na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa  Kusini Pemba , Juma  Kassim Tindwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*