Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo, Alice Maro (kushoto) akimkabidhi mteja Ally Mwaro tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi Nairobi Kenya, baada ya kuwa mshindi wa promosheni ya kupiga simu za kimataifa. Pia katika hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana, Tigo iliwakabidhi zawadi mbalimbali wateja 49 walioshinda katika promosheni hiyo. Anayeshuhudia katikati ni Jacqueline Mnunduma Mratibu wa Miradi ya Tigo.
Charles Muna wa Tabata akizawadiwa simu
Mkazi wa Tabata, Ashura Kimbengele (kulia0 akikabidhiwa zawadi ya simu
Said Mwerani wa Temeke Dar es Salaam, akipokea zawadi ya simu
Makson Mpangala (kulia) wa Victoria akipokea zawadi ya simu
Ephraem Mtuya (kulia) wa Mbezi Dar es Salaam akipokea zawadi ya simu baada ya kuwa mmoja wa washindi 49 wa promosheni ya Tigo ya kupiga simu za kimataifa. Anayeshuhudia katikati ni Jacqueline Mnunduma Mratibu wa Miradi ya Tigo.
Mkazi wa Bahari Beach Dar es Salaam, Ahmed Mohamed akipokea zawadi ya simu baada ya kuwa mmoja wa washindi wa promosheni ya kupiga simu nje ya nchi.
Baadhi ya washindi wa promosheni hiyo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuzawadiwa
Ofisa Uhusiano wa Tigo, Alice Maro akizungumza na baadhi ya wateja walioshinda katika promosheni hiyo. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MWAIKENDA

Comments