WAZIRI MAGHEMBE ATEMBELEA MITAMBO YA MAJI YA DAWASA

 Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe akiangalia upanuzi wa Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini, mkoani Pwani, alipokuwa katika ziara ya kukagua hifadhi za maji na mitambo ya maji juzi.
 Profesa Maghembe akisalimiana na watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), alipokuwa katika ziara hiyo.
 Profesa Maghembe akitia saini kwenye kitabu cha wageni, katika Ofisi za DAWASA, Mwananyamala, Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa mamlaka hiyo, Archard Mutalemwa.
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO),Jackson Midalo, akitoa maelezo kwa Waziri Maghembe jinsi maji yalivyopungua katika matanki ya kuhifadhia maji yaliyopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
                                         Hali ya upungufu wa maji ikioenekana  katika matanki ya UDSM
 Profesa Maghembe (katikati) akiwa na Mutalemwa wa DAWASA na Midalo wa DAWASCO alipotembelea matanki ya kuhifadhia maji ya Kimara, Dar es Salaam
 Profesa Maghembe akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA, Said El Maamry (kushoto)
 Profesa Maghembe (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza alipowasili mkoani humo tayari kukagua miradi ya maji.
                                                    Maghembe akiwa na Mwantumu Mahiza
 Profesa Maghembe akikagua matanki yaliyopo Kibaha kwa Mfipa
Midalo wa Dawasco (katikati) akitoa maelezo mbele ya ya Profesa Maghembe katika Mtambo wa Maji wa Ruvu Juu.. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.